MITIHANI YA KUMALIZA MWAKA WA MASOMO 2021/2022 INAFANYIKA TAREHE 25-29/07/2022
25 Jul, 2022
Mtendaji Mkuu Dkt. Siston Masanja anawatangazia Wanachuo wote kuwa mitihani ya kumaliza Muhula wa pili wa masomo 2021/2022 inafanyika katika Kampasi zote za Wakala za Bagamoyo, Mbeya na Mwanza kuanzia Julai 25-29, 2022.Tunawatakia wanachuo wote afya njema na mitihani mema.
Kuona Sheria na Taratibu za Mitihani tafadhali BOFYA HAPA