ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

Hosteli

ADEM Bagamoyo inatoa huduma ya Malazi kwa Wanachuo wa Mwaka wa kwanza Wanaume na Wanawake wanaojiunga na Chuo cha ADEM

Hosteli hizi zina uwezo wa kubeba jumla ya Wanachuo 640