Huduma za Kumbi za Mikutano
Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) una jumla ya kumbi 05 zinazotumika kwa ajili ya kukodishwa kwa ajili ya Mikutano, Warsha na Semina mbalimbali
Kumbi hizo ni;
1. Main Hall watu 350
2. Ukumbi wa Kijani watu 80
3. Ukumbi wa Mab watu 30
4. Ukumbi wa TR 5 watu 80
5. Ukumbi wa TR 3 Watu 80
Karibuni Sana.