Maombi ya kujiunga na Diploma ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu-DEMA na Diploma ya Uthibiti Ubora wa Shule-DSQA March Intake yanapokelewa sasa
24 Feb, 2023
Mtendaji Mkuu anawatangazia walimu wote wanaohitaji kujiunga na masomo ya Stashahada ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu-DEMA na Stashahada ya Uthibiti Ubora wa Shule - DSQA March Intake kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kuwa dirisha la udahili limefunguliwa hivyo walimu watume maombi yao kwa kudownload fomu ya maombi inayopatikana katika tangazo hili. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 Machi, 2023.
PAKUA HAPA FOMU YA KUJIUNGA NA MASOMO YA STASHAHADA MARCH INTAKE