KUFUNGULIWA KWA MUHULA WA PILI 2021/2022
23 Mar, 2022
Ofisi ya Taaluma, Utafiti na Ushauri Weledi unawatangazia kuwa Chuo kitafunguliwa tarehe 10/04/2022 na masomo yataanza rasmi tarehe 11/04/2022