ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

MAONESHO YA UBUNIFU NA MAKISATU YALIYOFANYIKA TAREHE 15-20 MEI 2022 JIJINI DODOMA

ADEM ilishiriki katika maonesho ya Ubunifu na MAKISATU yaliyofanyika kuanzia tarehe 15-20 Mei 2022 ambapo Wakala ulitumia maonesho hayo kutangaza shughuli zinazotekelezwa na Wakala ikiwa ni pamoja na Kozi za Astashahada, Stashahada na Shahada zinazotolewa na Wakala