MAOMBI YA KUJIUNGA NA KOZI ZINAZOTOLEWA NA ADEM KATIKA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 SASA YANAPOKELEWA - PAKUA FOMU YA KUJIUNGA HAPA
KUJIUNGA NA KOZI ZINAZOTOLEWA NA ADEM KATIKA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
Mtendaji Mkuu - ADEM anawatangazia walimu wote wanaopenda kujiendeleza katika Kozi zinazotolewa na ADEM kwa mafunzo ya muda mrefu ya Stashahada (DIPLOMA) katika Kampasi za Bagamoyo, Mbeya na Mwanza kuwa maombi yameanza kupokelewa kwa wanachuo watakaojiunga dirisha la Mwezi September.
SIFA ZA KUJIUNGA
⏩️Mwombaji awe ni Mwalimu ambaye amehitimu mafunzo ya Ualimu ngazi ya Daraja la III A; AU Stashahada ya Ualimu inayotambulika na Serikali; AU Shahada ya Ualimu; AU Shahada ya Uzamili ya Ualimu;
⏩️Mwombaji awe na ufaulu angalau D 4 katika cheti chake cha kidato cha NNE
Maombi yatumwe kwenye anuani ya Barua Pepe iliyopo katika Fomu ya kujiunga
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa simu:
0713 714 616
0717 228 080
0752 839 400
Mafunzo haya yatatolewa katika vituo vya ADEM vilivyopo katika Wilaya na Mikoa yote nchini.
