ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

JOINING INSTRUCTIONS ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM KWA MWAKA 2023/2024 ZINAPATIKANA SASA - PAKUA HAPA

25 Sep, 2023
JOINING INSTRUCTIONS ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM KWA MWAKA 2023/2024 ZINAPATIKANA SASA - PAKUA HAPA

Mtendaji Mkuu wa ADEM anawatangazia walimu na wadau wote walioomba kujiunga na mafunzo ya ADEM kwa mwaka 2023/2024 kuwa joining instructions zinapatikana na wanaweza kuzipata kwa kuzipakua katika link hiyo hapo chini

PAKUA HAPA JOINING INSTRUCTIONS FORM ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM KWA MWAKA 2023/2024