HIZI HAPA CONTROL NUMBER KWA AJILI YA MALIPO YA MAHAFALI KWA WAHITIMU WA ADEM 2023
07 Nov, 2023
Mtendaji Mkuu wa ADEM Dkt. Siston Masanja Mgullah anapenda kuwaalika wahitimu wote wa ADEM kwenye Mahafali ya 31 ya ADEM yatakayofanyika ADEM Bagamoyo siku ya tarehe 1 Disemba, 2023. Pia anawataarifu wahitimu wote kufanya malipo ya shilingi 50,000/- katika control number zilizopo hapo chini ikiwa ni gharama ya huduma ya mshiriki katika Mahafali hayo
HIZI HAPA CONTROL NUMBER KWA AJILI YA MALIPO YA MAHAFALI KWA WAHITIMU WA ADEM 2023