DIRISHA LA KUPOKEA MAOMBI YA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM KWA MWAKA 2024/2025 LIMEFUNGULIWA FUATA LINK HAPO CHINI KUPAKUA FOMU YA KUJIKUNGA
01 May, 2024
Mtendaji Mkuu Dkt. Siston Masanja Mgullah anawakaribisha walimu na wadau wote wa elimu nchini kujiunga na mafunzo yanayotolewa na ADEM kwa mwaka wa masomo 2024/2025