TRAINING ON EFFECTIVE SCHOOL LEADERSHIP AND MANAGEMENT FOR PRIMARY SCHOOL MANAGERS AND HEAD TEACHERS

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ameelekeza kutolewa kwa Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi fanisi wa Shule kwa Walimu wakuu na Mameneja wa Shule zisizo za Serikali. Hivyo mafunzo haya yatafanyika kuanzia tarehe 20-30 Machi, 2025 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na yataanzia katika Mikoa ya Arusha, Dodoma na Dar Es Salaam. Ada ya kushiriki mafunzo haya ni Shilingi 970,000/= kwa Meneja na Mwalimu Mkuu na Shilingi 485,000/= kwa mshiriki mmoja itakayogharamia i) gharama za ufundishaji, ii) Cheti cha Mshiriki wa mafunzo, iii) Chakula - Chai ya asubuhi, Chakula cha mchana na Chai hya jioni, vifaa vya mafunzo pia kitabu kuhusu Uongozi, usimamizi na Utawala Bora wa elimu. Ili kujisajili kwa ajili ya kushiriki mafunzo haya tafadhali fuata maelekezo yafuatayo. Mwisho wa kujisajili ni siku mbili kabla ya mafunzo kufanyika katika Mkoa wako, 2025
BONYEZA LINK HII ILI KUFANYA USAJILI WA MAFUNZO HAYA