ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

ORODHA YA WANAFUNZI WALIODAHILIWA KWA MUHULA WA MASOMO 2022/2023 AWAMU YA KWANZA

20 Aug, 2022

Mtendaji Mkuu anawatangazia Wanafunzi walioomba kujiunga na ADEM kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kwa masomo ya Stashahada ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA), Stashahada ya Uthibiti Ubora wa Shule (DSQA) na Astashahada ya Uongozi, Usimamizi wa Utawala wa Elimu (CELMA)  kuwa awamu ya kwanza ya Udahili wa wanafunzi hao imefanyika kama inavyoonekana hapa. Kuona orodha ya waliodahiliwa kwa mwaka wa masomo 2022/2023 tafadhali BONYEZA HAPA KUONA ORODHA YA WALIODAHILIWA KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023

 

MAOMBI YA KUJIUNGA NA STASHAHADA YA UONGOZI NA UTHIBITI UBORA WA SHULE BADO YANAENDELEA KUPOKELEWA

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30/09/2022