ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

Fomu ya kujiunga na Kozi za ADEM ngazi ya Stashahada na Cheti kwa mwaka 2023/2024 inapatikana hapa-DOWNLOAD

29 Aug, 2023

Tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Kozi za Stashahada ya Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu-DEMA na Stashahada ya Uthibiti Ubora wa Shule-DSQA kwa mwaka wa masomo 2023/2024

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 Septemba, 2023

BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM MWAKA WA MASOMO 2023/2024