ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

HIZI HAPA CONTROL NUMBER KWA AJILI YA MALIPO YA ADA KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA 2023/2024

27 Sep, 2022

Hizi hapa Control Number kwa ajili ya kufanya malipo ya Ada kwa Wanafunzi wa Mwaka wa kwanza waliodahiliwa kujiunga na ADEM kwa mwaka wa masomo 2023/2024 Awamu ya Kwanza, kwa Kozi za DELMA na DSQA katika Kampasi za Wakala za Bagamoyo. Wakala utaendelea kutoa Control number hizi kwa wanafunzi wa waliochaguliwa katika Kampasi ya Mwanza na Mbeya pia wanafunzi waliochaguliwa katika Kampasi ya Bagamoyo lakini hawajaona majina yao katika Orodha hii. Orodha hii ni Awamu ya kwanza.

KARIBUNI SANA ADEM,Chuo kitafunguliwa Tarehe 15 Oktoba, 2023.

TAZAMA HAPA MAJINA NA CONTROL NUMBER ZA MALIPO YA ADA KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA 2023/2024 KAMPASI YA BAGAMOYO