Mtendaji Mkuu ADEM
Dkt. Maulid J. Maulid, Mtendaji ni Mkuu wa ADEM kuanzia Julai, 2024 ndiye kiongozi mkuu wa Taasisi ya ADEM inayojishughulisha na kuimarisha Uongozi na Usimamizi wa Elimu kupitia utoaji wa mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi kuhusu uongozi na usimamizi wa elimu nchini
