SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
02 Mar, 2022
02:00 AM-08:00PM
ADEM BAGAMOYO
ADEM itaadhimisha Siku ya Wanawake duniani ambayo kilele chake ni tarehe 08 Machi, Maadhimisho hayo yatafanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nia Njema Bagamoyo ambapo Watumishi wanawake wa ADEM wataungana na Watumishi wengine Wanawake katika Wilaya ya Bagamoyo kuadhimisha siku hiyo
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo atakuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainab Abdallah