ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

PAKUA HAPA FOMU YA KUJIUNGA NA MASOMO KWA MWAKA 2022/2023

27 Apr, 2022

ADEM inawatangazia Walimu kutoka Shule Binafsi, Mashirika na Walimu wa Shule za Serikali wanaotaka kujiunga na Stashahada ya Uthibiti Ubora wa Shule - DSQA na Stashahada ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu - DEMA kuwa imeanza kupokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa masomo 2022/2023

 Ili kupata Fomu ya Kujiunga tafadhali BOFYA HAPA