RATIBA YA MITIHANI YA SUPPLEMENTARY NA MARUDIO YA MUHULA WA KWANZA WA MWAKA WA MASOMO 2022/2023
14 Mar, 2023
Mtendaji Mkuu anawatangazia Wanafunzi wote wanaotakiwa kufanya Mitihani ya Supplementary na ile ya marudio kwa Kampasi zote za ADEM kuwa mitihani hiyo itaanza rasmi tarehe 28 Machi 2023