ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

Chukua hapa Fomu ya kujiunga na Kozi za ADEM kwa mwaka wa masomo 2024/2025

01 May, 2024

Mtendaji Mkuu anawatangazia  Walimu na wadau wote wa elimu nchini kuwa ADEM imeanza kupokea maombi ya kujiunga

na mafunzo yanayotolewa na ADEM katika mwaka wa masomo 2024/2025.

SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI ZINAZOTOLEWA NA ADEM

1. STASHAHADA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE - DIPLOMA IN SCHOOL QUALITY ASSURANCE (DSQA)

 i) CHETI CHA CHUO CHA UALIMU DARAJA LA TATU A (GRADE A TECHER CERTIFICATE)

ii) CHETI CHA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU WA ANGALAU D 4 KATIKA MASOMO YASIYO YA DINI

2. STASHAHADA YA UONGOZI, USIMAMIZI NA UTAWALA KATIKA ELIMU - DIPLOMA IN EDUCATION LEADERSHIP AND ADMINISTRATION (DELMA)

 i) CHETI CHA CHUO CHA UALIMU DARAJA LA TATU A (GRADE A TECHER CERTIFICATE)

ii) CHETI CHA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU WA ANGALAU D 4 KATIKA MASOMO YASIYO YA DINI

Ili kufanya maombi tafadhali Pakua fomu ya kujiunga na ADEM katika link hapo chini.

HII HAPA FOMU YA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM MWAKA 2024/2025